Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
majina sasa ya waimbaji wa singeli Sholo Mwamba,Man Fongo,joka Mdimu,Mgumba,Man kibua.....teh teh teh.....Naona singeli inakuja kwa kasi ya ajabu hasa kwetu uswazi. Dah uchezaji wake bado nashindwa kuuelewa lakini poa tu.
Angalia video tamu ya Singeli Hiphop kutoka kwa wakali wa muziki.
Ww unafikiri waliomchagua hawakujua career yake ni ipi.....??? Yaani umekiabisha sana kichwa chako, kwa hiyo ulitaka Abood kwa kuwa mbunge wa Morogoro aache biashara zake za mabasi?? Au hujui music is a business just like any other business??? A very low thinking capacity nimewahi kukutana nayo this 2016