Singeli/mchiriku wa Juma Mpogo akumbusha amani - Baba wa Taifa

Singeli/mchiriku wa Juma Mpogo akumbusha amani - Baba wa Taifa

Hongereni sana Wizara ya Utamaduni kwa kuutambua huu utamaduni usiokufa
 
Sikia hili wewe....Singeli la kihindi hili.
#punguza Wivu Piga kazi.

Vionjo muhimu

Mungu hataniwi....
habari ndio hiooo....
Mama mkanye mwanao...
Huruma sio malezi....
tubidi tu kuishi nao.....
Naing'arisha fasihi mi sio msanii bado ni mwanamuziki....
wanaforce tufanane....
siku zote saba masaa 24 bado naishi kama jana....
mi bado nipo japo kufika nilipo sio simple...
tukiwapa fair hawataki fair...
wanataka vita na vita hawawezi??
 

Attachments

Hii apa Singeli bila matusi.
Juzi kati nimeona wakiibuka wanafiki eti wanajidai ni watumishi wa Mungu wanataka kuibebesha Singeli na ushetani...nasema washindwe na walegee
 

Attachments

Back
Top Bottom