Singer Ashanti Posts Sexy Pictures Of Herself In Bikini On Instagram

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Hot and she knows just how to flaunt it. Ashanti posted some sexy photos on instagram.

The pictures come just one day after she posted another photograph of herself in a bright yellow bikini. She captioned the shot with: With all the bullsh#t in life.. Ya gotta find chill time...'
Me Likey, do you?
Si mchezo wana JF |Nelly anafaidi kweli
 
toka long tym namkabali sana huyu mtoto dah!
Shukrani stunna
 
Kuna watu wameumbwa bwana...:der:
Mtoto kama hajaenda age vile.:yo:

"Nlikuwepo":bolt:
 
nimesoma michango yenu mliotangulia mmesifia sana, ila zingepostiwa picha za msanii wa bongo katika kivazi hicho tungeshuudia mitusi ya haja kutoka kwa nyie wenyewe.
 
nimesoma michango yenu mliotangulia mmesifia sana, ila zingepostiwa picha za msanii wa bongo katika kivazi hicho tungeshuudia mitusi ya haja kutoka kwa nyie wenyewe.

kule si Usa na hapa bongo kukakaa uchi sio culture yetu
 
nimesoma michango yenu mliotangulia mmesifia sana, ila zingepostiwa picha za msanii wa bongo katika kivazi hicho tungeshuudia mitusi ya haja kutoka kwa nyie wenyewe.

Mkuu umesema ukweli kwa uzoefu wangu hapa lakin inabid tuige mazuri si mabaya.

Pia tuangalie na mambo ya utamaduni
 
Tangu naanza kuzitizama video zake miaka hizo mtoto ni mzuri mpaka leo daah
 
stunna kwani huyu mtoto bado hajaolewa?
Maana nimemlia tyming kitambo sanaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…