Singer Chris Brown's home burglarized

Singer Chris Brown's home burglarized

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
(CNN)This time it wasn't singer Chris Brown making the news for his own behavior. When Brown returned to his Agoura Hills, California, home on Wednesday evening, he found a female intruder in his residence and called police.

They found a woman named Amira Ayeb inside the home, according to an advisory from the Malibu/Lost Hills Sheriff's Station. Brown told police he didn't know Ayeb, and she didn't have permission to be in his home.

Brown was a little more explicit on his Instagram account.
"I get home and find this crazy individual in my house," he wrote. "She had broken the hinges off the doors. She Found time to cook her several meAls. She Wrote 'I love you' on the walls. She threw out my daughters clothing as well as my dogs stuff. Then had all these crazy voodoo things around my crib. goes to show you how crazy people are crazy! And she painted her name on my cars!!!! I love my fans but this is some on some real real crazy shit! I pray she will get help."

Ayeb, 21, was arrested and booked at Malibu/Lost Hills Sheriff's Station for felony vandalism and burglary and is being held on bail of $50,000. She is scheduled to appear in Van Nuys Superior Courthouse on May 11.

CNN attempted to reach Ayeb but was unsuccessful as of publication. It is unclear whether Ayeb has legal representation.
Although the advisory didn't mention Brown by name, police later confirmed to CNN that he was the victim.

Kuna kitu hapo sijaelewa aliposema "she threw out my daughters clothing......."
Kumbe Chris Brown ana binti?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijaambulia kitu! embu i translate ni sisi tuchangie!
 
CB ana mtoto mwenye miezi 10 na mrembo aliyezaa naye inaelekea hana au hapendi show offs anajielekea vyake kimya kimya bila kupiga kelele, ila imemgharimu mpenzi baada ya mpenzi wake Karruch kuamua kubwanga manyanga baada ya kusikia njemba miezi 19 iliyopita ilimpa uja uzito huyo mrembo. Picha ya chini ni CB na mrembo aliyeamua kubwaga manyanga kuashiria mwisho wa ngoma.

Kuna kitu hapo sijaelewa aliposema "she threw out my daughters clothing......."
Kumbe Chris Brown ana binti?
 
CB ana mtoto mwenye miezi 10 na mrembo aliyezaa naye inaelekea hana au hapendi show offs anajielekea vyake kimya kimya bila kupiga kelele, ila imemgharimu mpenzi baada ya mpenzi wake Karruch kuamua kubwanga manyanga baada ya kusikia njemba miezi 19 iliyopita ilimpa uja uzito huyo mrembo. Picha ya chini ni CB na mrembo aliyeamua kubwaga manyanga kuashiria mwisho wa ngoma.

Dah na kweli bwana naona mtoto anafanana na Chris Brown!
Kama huyo Karruache atakua kabwaga manyanga kweli nitafurahi maana nilikua siipendi hii couple yao.
Napenda Chris akidate na Rihanna zaidi.
Ila sio ajabu wakarudiana maana hawa hata hawaaminiki.
Leo wanatukanana kesho wako pamoja!(Chris and Karruache)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
lol! Wapenzi ca Chris asilimia kubwa wanataka kumuona na akiwa na RiRi kimapenzi wanapendana hawa ila kosa la RiRi ilikuwa ni kumwambia jamaa atangaze ndoa, jamaa akastuka na kudai umri wake bado mdogo kuingia kwenye ndoa maana ndoa inataka akili iliyotulia si ya kukurupukakurupuka. Karruche naye anadai anapendwa sana na Chris ila hawezi kuendelea baada ya kujua wakati wakiwa pamoja njemba ilikuwa inagegeda mrembo mwingine. Sitashangaa kusikia siku za usoni akiwa na mmoja kati ya hawa au wote sana sana itakuwa ni kuvuana picchu tu ili kupunguza genye zao sioni wa kuolewa na Chris hapo na sijui kama Chris ni muoaji. Si unajua watu wanaopendana kurushana roho kama kazi matusi wanatukanana halafu baada ya muda unawakuta wako pamoja utadhani si wao. Watu wengine wanajiwezea sana.

Kiukweli mimi ninavyoona Riri anampenda Chris kweli ila hili gumegume Karruache naona anapenda kick tu.
Hivi sasa Riri namuona hana raha kabisa yote ni sababu ya Chris.
Ila ni kweli Chris hawezi kuoa kwa sasa naona bado anakula ujana.Nasikia aliwahi kumuambia Karruache wafanye 3**s*u*m!...😕😕
Nitafurahi sana akirudiana na Riri!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nampenda chriss na natamani warudiane na chizi riri lakini sometimes nikimuangalia riri naona sio type yake maana ni mawawa sana na chriss the same natamani apate kidada kisichokuwa kimaarufu wanaweza kusettle
 
Mambo ya 3sum wanajirusha kwa raha zao. Ukishazoea hizi za 3sum zile za kawaida unaziona very boring.

Kiukweli mimi ninavyoona Riri anampenda Chris kweli ila hili gumegume Karruache naona anapenda kick tu.
Hivi sasa Riri namuona hana raha kabisa yote ni sababu ya Chris.
Ila ni kweli Chris hawezi kuoa kwa sasa naona bado anakula ujana.Nasikia aliwahi kumuambia Karruache wafanye 3**s*u*m!...😕😕
Nitafurahi sana akirudiana na Riri!
 
Mambo ya 3sum wanajirusha kwa raha zao. Ukishazoea hizi za 3sum zile za kawaida unaziona very boring.

Mhhhh...ukishazoea.....!Inaonesha una experience hapo BAK
Hahahahah
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha za kuwasoma wanaofunguka mitandaoni kuhusu 3sum lol!

Hahahahaa haya bwana mimi nikadhani ni wewe mwenyewe.
Ila za kuambiwa.......
Japo lisemwalo lipo.Binafsi siwezi kujaribu hilo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Never say never...ila usichonge mzinga tu, si unajua muonja asali....🙂🙂

Hahahahaa haya bwana mimi nikadhani ni wewe mwenyewe.
Ila za kuambiwa.......
Japo lisemwalo lipo.Binafsi siwezi kujaribu hilo.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom