SINGIDA: Asakwa kwa kutupa kichanga chooni

SINGIDA: Asakwa kwa kutupa kichanga chooni

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
259
JESHI la Polisi mkoani Singida, linamsaka mwanamke mmoja ambaye bado hajatambulika kwa majina na anwani ya makazi yake kwa kumtupa mtoto mchanga kwenye tundu la choo.

Mtoto huyo baada ya kuopolewa kwenye tundu la choo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida ambapo bado anaendelea kupatiwa matibabu hadi sasa.

CHANZO: NIPASHE
 
Mkuu unaijua singida huku elimu ya uzazi wa mpango wanayo jua ni kufunga kizazi hayo mambo ya kondomo na mengine hawajui Tena ukitumia kondomo anaogopa itabaki ndani hataki
kuna mmoja aliingia kwenye anga zangu akawa hataki nitumie kondomu, kama ningetumia kondom aliniambia atapiga kelele kuwa nambaka watu waje kuniadhibu, nikaona isiwe taabu nikaacha zoezi la kuchakata nikavaa nikamuacha aondoke zake.
 
Anatupa mtoto wakati wengine wanawataka usiku na mchana hawawapati. Angezaa tu kisha atafute wa kumpa
 
Ningekua huko ningeomba huyo mtoto awe wangu 🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Back
Top Bottom