Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Mkuu unaijua singida huku elimu ya uzazi wa mpango wanayo jua ni kufunga kizazi hayo mambo ya kondomo na mengine hawajui Tena ukitumia kondomo anaogopa itabaki ndani hatakiHivi kwa Dunia ya Leo yenye elimu na technology kibao, unabebaje mimba ambayo hujairidhia?
kuna mmoja aliingia kwenye anga zangu akawa hataki nitumie kondomu, kama ningetumia kondom aliniambia atapiga kelele kuwa nambaka watu waje kuniadhibu, nikaona isiwe taabu nikaacha zoezi la kuchakata nikavaa nikamuacha aondoke zake.Mkuu unaijua singida huku elimu ya uzazi wa mpango wanayo jua ni kufunga kizazi hayo mambo ya kondomo na mengine hawajui Tena ukitumia kondomo anaogopa itabaki ndani hataki