Pre GE2025 Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi

Pre GE2025 Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.

Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la Polisi mkoani Singida usiku huu limemuita kwa mahojiani Askofu Maxmillian Machumu (Mwanamapinduzi) kwa mahojiano baada ya kutoka kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu uliokuwa unafanyika katika kijiji cha Mangda Jimbo la Singida Kaskazini.

Screenshot_2024-06-06-22-10-07-1.png

=====

UPDATE

Hatimaye Baada ya kuhojiwa Baba Askofu ameachiwa kwa dhamana usiku huu.

====

Pia soma: Huenda sababu ya Askofu Mwanamapinduzi kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"
 
..wanataka Lissu asimamishe mikutano akahangaike kumtetea Askofu Mwanamapinduzi.
 
Back
Top Bottom