Singida Big Stars,Dodoma jiji, na Toto African ni reserve teams za Yanga, wakati Azam na Coastal ni reserve teams za Simba SC

Singida Big Stars,Dodoma jiji, na Toto African ni reserve teams za Yanga, wakati Azam na Coastal ni reserve teams za Simba SC

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kule ulaya kuna kitu kinaitwa reserve teams.
Mfano Real Madrid wanatimu inaitwa Real Madrid Castilla
,timu aliyochezea winger wa Brazil Vinicius Tobias ambaye jana amekiwasha kwelikweli.alicheza reseve team kabla ya kujiunga senior team

Timu za Simba na Yanga kwa makusudi au kutojua huwa zina reserve teams.

Madhara ya hizi reserve teams ni pamoja na natch fixing.Yanga inafaidika zaidi maana kuna timu mbili ambazo kwa sasa ni reseve teams kwa kificho nazo ni GGM na Ruvu shooting.
SBS inayomilikiwa na Mwigulu haiwezi kuidondia Yanga.maana mwigulu ni yanga lialia.
Dodoma jiji ni kama inalelewa na Anton Mavunde,sawa na mwigulu.
Toto Africa uswahiba wake na yanga tunaujua haijawahi kuifunga Yanga
Ruvu shooting na GGM zimejikuta kwenye huo mtego maana zinafindishwa na makocha ambao waliichezea Yanga enzi zao kiasi kwamba wana mahaba kupitiliza na Yanga mpaka wanasahau miiko ya kazi zao,wanapanga vikosi dhaifu ni kutumia mbinu hafofi pindi wakutanapo na Yanga.

SSC na azam ni ndugu wa damu ukiona Simba kafungwa na Azam ujue wakubwa wameruhusu itokee hivyo.
Coastal union halikadhalika ni reseve timu ya SSC haitatokea ikaibania.

Itaendelea.......

Moderators isomeke Reserve badala ya reseve
 
Back
Top Bottom