AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Wapo kwenye makundi magumu na kwa jitihada za uwanjani tu hawatoboi
Haraka za wapi? Au huwezi kuandika?Wapo kwenye makundi magumu na kwa jitihada za uwanjani tu hawatoboi
Alikua anawahi kukata kimbaumeandika haraka sana soma tena heading yako
Utashangaa wanapambana wanapita makundi afu simba na yanga wanatolewaWapo kwenye makundi magumu na kwa jitihada za uwanjani tu hawatoboi