Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Mpira unachezwa uwanjani! Sasa nyinyi anzenu tu kuleta maneno mengi nje ya uwanja, halafu hiyo kesho mkaishia tu kupigwa na kitu kizito kichwani.
Huyu Dario ni mwananchi? Mbona ulisema mmefunga milango halafu mmemtoa Kotei kwa Mtibwa?UPDATE
Mazoezi ya mwisho mwisho leo kabla ya mechi yetu na @prisonssc kesho saa 8 kamili mchana. Tiketi za mechi zinapatikana kupitia mfumo wa kisasa wa N-CARD pekee! Kata mapema. Fika mapema.
View attachment 2324434View attachment 2324435View attachment 2324436View attachment 2324433
Mmiliki wa timu ni nani haswaa?Yote matokeo.
Mmiliki wa timu ni nani haswaa?
USHAURI:Ufunguliwe uzi maalum wa timu kama ambavyo baadhi ya timu zinafanya hapa jukwaaniTimu yetu inamilikiwa na kampuni yenye bodi yake ya wakurugenzi na sekretariet. Kama zilivyo timu nyingine ambazo zinaendeshwa kisasa. Haimilikiwi na mtu binafsi.
Ushauri mzuriUSHAURI:Ufunguliwe uzi maalum wa timu kama ambavyo baadhi ya timu zinafanya hapa jukwaani
Tuko pamojaa
USHAURI:Ufunguliwe uzi maalum wa timu kama ambavyo baadhi ya timu zinafanya hapa jukwaani
Tuko pamojaa
Cheza na Wote ila siyo Simba na Yanga. Kama Timu Kubwa za Mecco FC, Pamba FC, Sigara FC, Kajumulo FC baadae Tanzania Stars na Moro United tena iliyokuwa chini ya Tajiri Mkubwa wa Mafuta Merrey Balbouh zote zilisambaratishwa na Nguvu ya Simba na Yanga ndiyo itakuwa hii Singida Big Stars FC yenu?Hawa Singida Big Stars, very soon. Tutaisahau Yanga na Simba
Singida Big Stars ni hatari fire
Nitaipima Singida Big Stars baada ya Mechi 7 za mwanzo na nashangaa kuona Watu ndani ya Mechi moja tu mnawapa Jeuri hivi wakati Soka la Tanzania linajulikana jinsi lilivyo na Mazingaombwe na Upanjuani Upanjuani mwingi tu.Big up, mmeonesha uwezo....
Jezi tu za hii timu kwa hapa nchini hutaabiki kufahamu ni ya mlengo upi.Watu wa Soka,
Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons.
Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze kwa wingi uwanja wa LITI (zamani Namfua) kesho mapema sana kuisapoti timu yetu. Hakutakuwa na tiketi za mkononi.
Mechi itaanza SAA NANE KAMILI MCHANA.
View attachment 2324288