Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Ndy uchafu gani huo??Hongereni SINGIDA Big Star. Naamini kwa usajili mnaofanya mtaleta ushindani kwenye ligi.
Ila tu mkumbuke Kuna Mnyama,#Nguvumoja hatuachi kiumbe au masalia, tunararua.
Hongereni SINGIDA Big Star. Naamini kwa usajili mnaofanya mtaleta ushindani kwenye ligi.
Shaibu Ninja, Kaseke na Yassin chukueni pia watawasaidia!
Feisal Salum kaletewa wachezaji kibao nafasi yake, mkiona anawekwa benchi kule Yanga mchukueni kwa mkopo aimarishe safu ya ushambuliaji!
Ile Singida United,ikaja DTB Leo ni hiyo trueeeee na ile NAMUNGO NI kassimu Majaliwa unganisha dot
Tulia utopolo..acha jazibaNdy uchafu gani huo??
Kama mlivywararua Mbeya City na Kagera Sugar msimu uliopita.Hongereni SINGIDA Big Star. Naamini kwa usajili mnaofanya mtaleta ushindani kwenye ligi.
Ila tu mkumbuke Kuna Mnyama,#Nguvumoja hatuachi kiumbe au masalia, tunararua.
Ulishindwa nini kuipa laana Yanga isichukue makombe matatu mikononi mwenu au kuzilaani Mbeya City na Kagera kwa kuwafunga?Hii timu ina malengo mazuri na najua mkikomaa mtabaki ligi kuu na mtafika mbali. Jifunzeni kwa geita gold, polisi tz, ruvu labda mtatoboa. Mkileta uyanga kama singida united na mbeya mimi mwanasimba natangaza laana kuu kwenu. Mwigulu atasababisha hiyo timu ichukiwe na watu kwa uyanga wa kitopolo. NAWACHEKI TU ILA MKIJICHANGANYA NAWALAANI.
ona huyu gongowazi mtopolo. Sijui mnakwama wapi gongowazi biringanya fc.Ulishindwa nini kuipa laana Yanga isichukue makombe matatu mikononi mwenu au kuzilaani Mbeya City na Kagera kwa kuwafunga?
Kama Tanzania one wenu sawa, ila sio wa taifa zima kiujumla.Hongereni. Ni usajili mzuri. Metacha Mnata ni mlinda mlango mzuri.
Binafsi sikufurahia kabisa kuondoka kwake Yanga kipindi kile. Maana angevumilia kidogo tu zile changamoto, mpaka wakati huu huenda angekuwa ndiyo Tanzania One wetu.
Hongereni. Ni usajili mzuri. Metacha Mnata ni mlinda mlango mzuri.
Binafsi sikufurahia kabisa kuondoka kwake Yanga kipindi kile. Maana angevumilia kidogo tu zile changamoto, mpaka wakati huu huenda angekuwa ndiyo Tanzania One wetu.
Kaka kumbe mlimsajili akiwa hajamaliza mkataba na POLISI?Watu wa Soka,
Leo ninafurahi kuwajuza kuwa Mlinzi Imara kutoka Timu ya Taifa #TaifaStars asiye na presha na mechi ndogo wala kubwa, Metacha Mnata, ametuhakikishia kuwa lango letu litakuwa salama kupitia uzoefu wake.
Tayari tumeinasa saini yake na atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili katika nafasi ya GoliKipa.
Karibu Singida Big Stars, Kipa wa Taifa, Metacha Boniphace Mnata.