Singida Big Stars tumerejea nyumbani Singida

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Watu wa Soka,

Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.

Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu yetu itaendelea tukiwa hapa Singida lakini pia tutaendelea na mpango wa kutengeneza timu yetu ya vijana (U20) ambayo majaribio ya kusaka vipaji yataanza rasmi Agosti 10, 2022.
 
Safi Sana dangisi Singapore ndo nyumbani naimani mtafanya vzr nitatoa support yangu kuwashabikia msituangushe
 
Nasikia singida day atakuwepo harmonize aseee Lazima uwanja ujae
 
Watu wa Soka,

Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.

Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu yetu itaendelea tukiwa hapa Singida lakini pia tutaendelea na mpango wa kutengeneza timu yetu ya vijana (U20) ambayo majaribio ya kusaka vipaji yataanza rasmi Agosti 10, 2022.
kwenye timu unasimama kama kiongozi wa nini
 
Nyie wazee wa alizeti kuna tatizo gani kwenye timu mbona mnatunyima raha
 
Back
Top Bottom