Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Asante sana mdauSafi Sana dangisi Singapore ndo nyumbani naimani mtafanya vzr nitatoa support yangu kuwashabikia msituangushe
kwenye timu unasimama kama kiongozi wa niniWatu wa Soka,
Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu yetu itaendelea tukiwa hapa Singida lakini pia tutaendelea na mpango wa kutengeneza timu yetu ya vijana (U20) ambayo majaribio ya kusaka vipaji yataanza rasmi Agosti 10, 2022.
Mzee mnakwama wapi uwanjani?, mbona mlianza vizuri na nuru ya alfajiri ikawaangazia?Asante sana mdau