Oya game itaomeshwa hii? Ni kituo gani na saa ngapi? bagamoyo
Dah! Jamaa wanafurahia tu tozo zetu.04 September 2022
Nyamirambo Stadium
Kigali, Rwanda
LIVE :
Rayon Sports Fc vs Singida Big star (Friendly Match@saa 19:30 cg 20:30 )
View attachment 2345446View attachment 2345448
Picha: moja ya wachezaji Nyota wa Singida Big Stars
Mubashara Rayon Sports TV
Timu kubwa mbili za Afrika ya Mashariki zitacheza mechi ya kirafiki ya kimataifa saa moja jioni tarehe 4 September 2022.
Acha kujishtukia ndugu rais.Wale wengine wana mashindano ya kimataifa ila wanakimbia kucheza international friends match kazi yao wanasubiria wengine wacheze wafungwe ili wawacheke halafu wakija kufungwa watakuja kumlaumu karia singida big stars hawapo Caf champions league ila wanacheza international friends kweli lile ni kundi la wahuni linaendeshwa kwa propaganda.