Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu

Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu

Movic Evara

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
197
Reaction score
431
"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".

©️ Peter Andrew.

Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).

Credit: Tom Cruz
 
Kwani kilikuwa na tetesi kuwa ni mali ya mwigulu?!
 
Aliyesema ni za mwigulu ni nani?....
Hata hivyo asitufanye wajinga inamaana mbarali hakuna uwanja
 
"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".

[emoji2399] Peter Andrew.

Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).

Credit: Tom Cruz
Basi ni mali ya Waziri wa Fedha....ikae hivyo.
 
"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".

©️ Peter Andrew.

Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).

Credit: Tom Cruz
Okay...
 
Kwa nini isiwe mbalali black stars? Kwa maskani yao yasiwe mbalali? Tumeshahama kwenye dunia ya kufanyana watoto wadogo,kama sio yake abadilishwe wizara aende wizara ya wazee jinsia na watoto tuone kama haijashuka daraja.
 
Mwambie Mwigulu aache kutuharibia mpira wetu.
 
"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".

©️ Peter Andrew.

Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).

Credit: Tom Cruz
Akili zako ni mtaji mkubwa kwa sisiem
 
Back
Top Bottom