Movic Evara
Senior Member
- Jan 31, 2018
- 197
- 431
Basi ni mali ya Waziri wa Fedha....ikae hivyo."Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".
[emoji2399] Peter Andrew.
Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).
Credit: Tom Cruz
Okay..."Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".
©️ Peter Andrew.
Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).
Credit: Tom Cruz
Team 2, ya 3 ni YangaMwigulu ana timu ngapi hadi sasa?
Akili zako ni mtaji mkubwa kwa sisiem"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club".
©️ Peter Andrew.
Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm).
Credit: Tom Cruz