OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Leo walima alizeti wamekutana na kipigo kikali sana cha magoli matstu kwa moja.
Licha ya kufanya usajiri mkubwa lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Kocha uchebe falsafa yake mpira wa chini ule wa pasi moja moja, wachezaji bado hawajaelewana hawana utulivu,
Wanapiga pasi za hovyo utazani Mtibwa Sugar.
Beki zinapokonywa mipira hovyo hovyo,
- Viungo wakabaji sifuri
- Winga wa kushoto sifuri
- Kipa sifuri
Kocha anafalsafa nzuri sana ila hawa wachezaji wapewe tiba ya kisaikolojia wanatetemeka hovyo uwanjani kiasi kwamba wanashindwa kupiga pasi vyema wanampasia adui halafu hawana speed