OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Masanza hajatoa tamkoKwan husen masanza anasemaje
Usiseme yangaB ,sema yanga ya mkoaniHao Yanga B tabu kweli
Au basi 😀Usiseme yangaB ,sema yanga ya mkoani
Mpira sio chumvi utiavyo kwenye mboga ikolee papo hapoMasanza hajatoa tamko
Bado mapema sana. Pale Cecafa tulienda kutambulisha sehemu ya kikosi tu.Hussein Massanza una maoni gani juu ya mwenendo wa timu yenu?