Singida Blacks Stars yahamishia Zanzibar mechi yake dhidi ya Yanga

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu.

Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya kuchezea kuwa mbaya, hivyo kabla ya Yanga watacheza mechi mbili nyumbani na baada ya hapo watasafiri hadi Zanzibar kumenyana na Yanga.

Una maoni gani?
 
Match imeisha
 
Wanaofungia uwanja ni Bodi ya ligi Ila Singida wameamua kufanya kazi ya Bodi ya ligi.
 
U no as
Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu.

Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya kuchezea kuwa mbaya, hivyo kabla ya Yanga watacheza mechi mbili nyumbani na baada ya hapo watasafiri hadi Zanzibar kumenyana na Yanga.

Una maoni gani?
Kipi cha kushangaza?Azam aneyemiliki uwanja ameenda Zanzibar sembuse singida ambaye anayetumiwa uwanja wa CCM?
 
Back
Top Bottom