Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Match imeishaKatika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu.
Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya kuchezea kuwa mbaya, hivyo kabla ya Yanga watacheza mechi mbili nyumbani na baada ya hapo watasafiri hadi Zanzibar kumenyana na Yanga.
Una maoni gani?
Wanaofungia uwanja ni Bodi ya ligi Ila Singida wameamua kufanya kazi ya Bodi ya ligi.Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu.
Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya kuchezea kuwa mbaya, hivyo kabla ya Yanga watacheza mechi mbili nyumbani na baada ya hapo watasafiri hadi Zanzibar kumenyana na Yanga.
Una maoni gani?
Halafu mechi inayofuata na Simba watarudisha SingidaWanaofungia uwanja ni Bodi ya ligi Ila Singida wameamua kufanya kazi ya Bodi ya ligi.
Kipi cha kushangaza?Azam aneyemiliki uwanja ameenda Zanzibar sembuse singida ambaye anayetumiwa uwanja wa CCM?Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu.