Singida: DC Muro aendelea na utatuzi wa migogoro wilaya ya Ikungi

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
UTATUZI WA MIGOGORO IKUNGI

SASA NI KATA YA UNYAHAATI

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro akiwa pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi leo tarehe 27/07/2022 wamesikiliza na kumaliza kero ya mgogoro wa viwanja vya wananchi 40 katika kijiji Muungano kitongoji samumba

Awali mgogoro huo ulishasikilizwa na kutolewa maamuzi na Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Edward Mpogolo ambae kwa sasa ni Dc Same ambapo hata hivyo baada ya kuhamishwa utekelezaji wa maamuzi yake ulikumbwa na changamoto ambayo Dc Muro ameimaliza kwa kuelekeza maamuzi ya awali yasimamiwe na kutekelezwa ipasavyo ndani ya siku 30 kuanzia leo

DC Muro amefikia uamuzi huo baada ya kuwasikiliza wananchi hao pamoja na vielelezo vyao na kusikiliza upande wa pili wa familia ya Marehemu Mujungu ambao walivamia maeneo hayo na kuuza viwanja kwa watu wengine wakati wakijua hawakuwa na haki ya kufanya hivyo hatua iliyozua mgogoro kutoka kwa wananchi wa awali waliopewa viwanja hivyo na uongozi wa kijiji cha Muungano tangu mwaka 2016

DC Muro amewaelekeza maafisa ardhi wa halmashauri kuendelea na mchakato wa kupima viwanja katika eneo hilo ili wananchi 40 waweza kupewa haki yako na kumtaka afisa ardhi kutoa notisi ya siku 30 kwa watu waliovamia eneo hilo kwa kununua viwanja kwa mtoto wa Marehemu Mujungu ambae ametakiwa kuwarudishia wananchi hela alizochukua

Awali mgogoro huo ulishasikilizwa katika baraza la ardhi la kata na maamuzi na serikali ya kijiji kushinda jambo ambalo lilisababisha familia ya mujungu kwenda kukata rufaa baraza la ardhi la wilaya ambapo maamuzi ya baraza yalirejesha jambo hilo tena baraza la ardhi la kata lisikilize tena kutoka na dosari zilizojitokeza hapo awali hatua ambayo iliwalazimu familia ya mujungu kukaa meza moja na uongozi wa serikali ya kijiji cha muungano na kulimaliza jambo hilo kwa kuandikishiana muafaka ambao familia iliridhia na kusaini kwa kupatiwa viwanja viwili katika eneo hilo uku eneo lingine kubwa likirejeshwa katika serikali ya kijiji

Pamoja na kuwepo kwa nyaraka za muafaka huo familia ya mujungu ilipinga nyaraka walizosaini wenyewe na kuibua upya mgogoro huo ambao leo Dc Muro amehitimisha kwa kuelekeza makubaliano ya awali yaheshimiwe na watu wafuate utaratibu na makubaliano waliyowekeana

Tazama picha za matukio 👇🏾👇🏾

Imetolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya Ikungi
27/07/2022

IMG-20220728-WA0019.jpg
IMG-20220728-WA0020.jpg
IMG-20220728-WA0021.jpg
IMG-20220728-WA0022.jpg
IMG-20220728-WA0018.jpg
 
... chawa endeleeni kushoboka tu humu; tumbili kishaliwa kichwa pamoja na jithada za machawa wote wale kumtukuza.
 
Itakua kuna mkeka unakuja jamaa wanaanza kujitutumua.

Njoja tuone.
 
UTATUZI WA MIGOGORO IKUNGI

SASA NI KATA YA UNYAHAATI

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro akiwa pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi leo tarehe 27/07/2022 wamesikiliza na kumaliza kero ya mgogoro wa viwanja vya wananchi 40 katika kijiji Muungano kitongoji samumba

Awali mgogoro huo ulishasikilizwa na kutolewa maamuzi na Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Edward Mpogolo ambae kwa sasa ni Dc Same ambapo hata hivyo baada ya kuhamishwa utekelezaji wa maamuzi yake ulikumbwa na changamoto ambayo Dc Muro ameimaliza kwa kuelekeza maamuzi ya awali yasimamiwe na kutekelezwa ipasavyo ndani ya siku 30 kuanzia leo

DC Muro amefikia uamuzi huo baada ya kuwasikiliza wananchi hao pamoja na vielelezo vyao na kusikiliza upande wa pili wa familia ya Marehemu Mujungu ambao walivamia maeneo hayo na kuuza viwanja kwa watu wengine wakati wakijua hawakuwa na haki ya kufanya hivyo hatua iliyozua mgogoro kutoka kwa wananchi wa awali waliopewa viwanja hivyo na uongozi wa kijiji cha Muungano tangu mwaka 2016

DC Muro amewaelekeza maafisa ardhi wa halmashauri kuendelea na mchakato wa kupima viwanja katika eneo hilo ili wananchi 40 waweza kupewa haki yako na kumtaka afisa ardhi kutoa notisi ya siku 30 kwa watu waliovamia eneo hilo kwa kununua viwanja kwa mtoto wa Marehemu Mujungu ambae ametakiwa kuwarudishia wananchi hela alizochukua

Awali mgogoro huo ulishasikilizwa katika baraza la ardhi la kata na maamuzi na serikali ya kijiji kushinda jambo ambalo lilisababisha familia ya mujungu kwenda kukata rufaa baraza la ardhi la wilaya ambapo maamuzi ya baraza yalirejesha jambo hilo tena baraza la ardhi la kata lisikilize tena kutoka na dosari zilizojitokeza hapo awali hatua ambayo iliwalazimu familia ya mujungu kukaa meza moja na uongozi wa serikali ya kijiji cha muungano na kulimaliza jambo hilo kwa kuandikishiana muafaka ambao familia iliridhia na kusaini kwa kupatiwa viwanja viwili katika eneo hilo uku eneo lingine kubwa likirejeshwa katika serikali ya kijiji

Pamoja na kuwepo kwa nyaraka za muafaka huo familia ya mujungu ilipinga nyaraka walizosaini wenyewe na kuibua upya mgogoro huo ambao leo Dc Muro amehitimisha kwa kuelekeza makubaliano ya awali yaheshimiwe na watu wafuate utaratibu na makubaliano waliyowekeana

Tazama picha za matukio 👇🏾👇🏾

Imetolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya Ikungi
27/07/2022

View attachment 2306588View attachment 2306589View attachment 2306590View attachment 2306591View attachment 2306592
Mwambie apambane. Mpaka August 1 lazima kuna mkeka utatokea wa DC, KM na DED
 
Mwambieni aanze kufungasha kuelekea uchagani au Yanga maana mkeka mpya hayupo
 
Naona matumbo joto mmeanza kujipigia chapuo teuzi zipo mezani kwa mama wiki hii haiishi wakurugenzi na ma DC.
 
Hana baya na mtu. Endelea kupiga kazi Mwanayanga lialia 😁
 
Matumbo moto

Nimemuonya sana Kafulila na zile mbwembwe zake humu leo yametimia.
 
Back
Top Bottom