Singida: DC Mwenda ashiriki kongamano la wakulima

Singida: DC Mwenda ashiriki kongamano la wakulima

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuwaeleza wadau wote kuwashirikisha wakulima wengi zaidi katika mikutano kama hiyo ili kusikia kero na changamoto za wakulima ili kwa pamoja ziweze kutatuliwa.

#Irambakaziinaendelea

IMG-20210731-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom