Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Katika kuendelea kuiimarisha safu yake ulinzi, hatimaye Walima Alizeti wamemnasa beki wa kushoto Yahya Mbegu katika kuhakikisha wanakuwa imara zaidi pindi michuano itakapoanza ile ya Kimataifa na ya ndani.