Singida hamna kitu, wamethibitisha kuwa walisaidiwa na utopolo ambao jioni hii watajuta kuzaliwa

Sio singida hamna kitu simba hamna timu
 
Utopolo iliwasaidia vipi singida? Kwamba kuna wachezaji wa yanga waliingia uwanjan kucheza?
 
Walikuwa wanafanya mazoezi pamoja na utopolo
 
Nimemuelewa sana. MPWANYUNGU village.

Yeye ameamua kuwaomba Moderators kufuta Threads zake zoeeee.

Sababu kubwa ya kufuta Nyuzi zote ni kuokoa kujaza Seva za Jamii forum

KUNA NYUZI ZINAJAZA SEA BURE KABISA.
TUJISAHIHISHE.
 
Wakisaidiwa kivipi?
kwamba Yanga iliruhusu wachezaji wake wakaichezee Singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…