Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!

Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo

Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
Screenshot_20210502-155116.png
 
Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!

Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo

Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
View attachment 1771151
Unahakika kuwa katikati ya nchi ndio kigezo pekee kilichozingatiwa kuipa Dodoma status hiyo?
 
Kama issue ni katikati ya nchi,basi ukiwa unatoka Kitinku kupandisha Manyoni,pembeni ya barabara kuna jiwe kubwa kushoto na bacon ambayo inatambulisha kuwa ndio katikati ya nchi. Dodoma kuwa makao makuu ya serikali sidhani kama kigezo cha kuwa katikati kilitumika
 
Singida ni katikati ya iliyokuwa nchi ya Tanganyika. Siyo katikati ya Tanzania. Katikati ya Tanzania ni Dodoma.
 
Kama issue ni katikati ya nchi,basi ukiwa unatoka Kitinku kupandisha Manyoni,pembeni ya barabara kuna jiwe kubwa kushoto na bacon ambayo inatambulisha kuwa ndio katikati ya nchi. Dodoma kuwa makao makuu ya serikali sidhani kama kigezo cha kuwa katikati kilitumika
Panaitwa Sukamahela
 
Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!

Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo

Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
View attachment 1771151
Na maendeleo je? Maana kuwa katikati ya nchi ni advantage kiuchumi .
 
Uko sahihi mkuu panaitwa sukamahela pale kuna omba omba vizee hivi huwa nikipita hapo lazima niache hela, sijuwi kama ndio tunazitupa kweli au ni watu wema tu.
Wale ni ombaomba waliorudishwa kutoka DSM zile enzi za Matonya, walijengewa kile kijiji kama sehemu ya makazi yao mapya.
 
Back
Top Bottom