Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Binafsi naona Zanz. Ina mambo yake, haiwezi kuhamia DodomaLabda hukujumusha Zanzibar
Unahakika kuwa katikati ya nchi ndio kigezo pekee kilichozingatiwa kuipa Dodoma status hiyo?Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!
Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo
Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
View attachment 1771151
Kabisa kuna visu vya hatari nchi nzimaKama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!
Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo
Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
View attachment 1771151
Nenda kaangalie wanyamwezi halafu linganisha na hao utajua unasifia rangi husifii uzuri au makalio ya kinyaturu yaliyobebwa na spoko za baiskeliKabisa kuna visu vya hatari nchi nzima
Panaitwa SukamahelaKama issue ni katikati ya nchi,basi ukiwa unatoka Kitinku kupandisha Manyoni,pembeni ya barabara kuna jiwe kubwa kushoto na bacon ambayo inatambulisha kuwa ndio katikati ya nchi. Dodoma kuwa makao makuu ya serikali sidhani kama kigezo cha kuwa katikati kilitumika
Na maendeleo je? Maana kuwa katikati ya nchi ni advantage kiuchumi .Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!
Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo
Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
View attachment 1771151
Uko sahihi mkuu panaitwa sukamahela pale kuna omba omba vizee hivi huwa nikipita hapo lazima niache hela, sijuwi kama ndio tunazitupa kweli au ni watu wema tu.Panaitwa Sukamahela
Usiisahau Zanzibar mkuu,hesabu usianzie Dar!Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!
Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo
Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
View attachment 1771151
Wale ni ombaomba waliorudishwa kutoka DSM zile enzi za Matonya, walijengewa kile kijiji kama sehemu ya makazi yao mapya.Uko sahihi mkuu panaitwa sukamahela pale kuna omba omba vizee hivi huwa nikipita hapo lazima niache hela, sijuwi kama ndio tunazitupa kweli au ni watu wema tu.