Singida kama Mbao kwa Yanga

Singida kama Mbao kwa Yanga

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Sijawahi kuona timu zenye roho mbaya kama Singida United na Mbao FC kwa Yanga.

Hakuna kocha wa timu hizi mbili kuja kuifundisha Yanga hata kama Yanga ikose hata kocha msaidizi. Nyambafu.
 
Unakumbuka Toto kwa Simba?
Sio unavyofikiri hata ulaya kuna timu ndogo kufungwa na kubwa ni kazi sana.. Mfano Wigan v Man city.
Pale spain kuna Celta vigo kwa Barca, au Bilbao kwa Madrid. kwa hyo ni moja ya mechi ambazo zipo na ndio ushindani wa soka huo.
 
Back
Top Bottom