Unakumbuka Toto kwa Simba?
Sio unavyofikiri hata ulaya kuna timu ndogo kufungwa na kubwa ni kazi sana.. Mfano Wigan v Man city.
Pale spain kuna Celta vigo kwa Barca, au Bilbao kwa Madrid. kwa hyo ni moja ya mechi ambazo zipo na ndio ushindani wa soka huo.