mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,948 Nov 1, 2010 #1 Jamani naomba mnijuze kuhusu Jimbo la Singida Kusini kule kwa mwaharakati wa Haki za Binadamu na Masuala ya Mazingira!
Jamani naomba mnijuze kuhusu Jimbo la Singida Kusini kule kwa mwaharakati wa Haki za Binadamu na Masuala ya Mazingira!
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #2 Na wewe si uzitafute hizo habari kama huna si uvute subira zitakuja tu.hapa siyo pa kuuliza ila kutupasha habari..............
Na wewe si uzitafute hizo habari kama huna si uvute subira zitakuja tu.hapa siyo pa kuuliza ila kutupasha habari..............