Uchaguzi 2020 Singida: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Singida: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Singida. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Singida una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni:-

Singida Mjini -
Ramadhan Sima(CCM) - Kura 23,220
Rehema Nkoha (CHADEMA) - Kura 15,467

Singida Kaskazini:
Rashid Mandoa(CCM) - kura 43,847
Lazaro Nyalandu(CHADEMA) - Kura 15,555

Iramba Mashariki:
Franscis Isack Minga (CCM)

Iramba Magharibi:
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (CCM)

Manyoni Magharibi:
Yahaya Omary Massare(CCM) - Kura 16,961

Shaban Sunta (CHADEMA) - Kura 7,529.

Manyoni Mashariki:
Dkt. Pius Stephen Chaya(CCM) - Kura 36,284
Aisha Yusuph Luja(CHADEMA) - Kura 4,773

Singida Mashariki:
Miraji Jumanne Mtaturu (CCM)

Singida Magharibi:
Elibariki Kingu (CCM) - kura 32,720

Hemed Ramadhan (Chadema) - Kura 7,446
Sufiani Juma (ACT-Wazalendo) kura 902

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Mimi mwaka huu nadhani ubunge sio kivile kutoka upinzanini. Macho yote kwenye uraisi bhana.

Mawazo yangu
 
Mchuano mkali upo majimbo matatu, Singida Mashariki, Singida Kaskazini na Singida Mjini.
 
Wanasingida tunaenda kumsulubu msaliti wa Nchi kutoka Ubeligiji
 
Kwa nini hakuna Picha ya Tundu Lisu akipiga kura?
 
Hivi Tundu Lissu amepiga kura au bado hatuna taarifa zozote kuhusu yeye na kwanini mpaka sasa kusiwe na taarifa.
 
Hivi Tundu Lissu amepiga kura au bado hatuna taarifa zozote kuhusu yeye na kwanini mpaka sasa kusiwe na taarifa.
Pia mimi natafuta picha ya Tundu lissu akipiga kura..sijaona na zimebaki dakika chache muda uishe.
 
Mbona tunaona habari za kura feki? Tena zinatumwa na watu mbali mbali ikiwemo viongozi wa chadema basi hata twitt yake tuione tu ingetosha.
Utaipata wapi Habari ya Tundu Lissu na Mitandao imezimwa na TV hazimuoneshi?
 
Screenshot from 2020-10-28 15-48-44.png
 
Back
Top Bottom