Pre GE2025 Singida: Mbunge Jesca Kishoa anyemelea ubunge Mkalama, avaa sare za CCM na kutoa milioni 6. Amsifia Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Kishoa.png

Kijiji cha Nkalakala kimepata fedha milioni sita kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida Jesca Kishoa ambazo zitatumika katika kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo.

Hayo yamefanyika leo Februari 16,2025 katika kijiji cha Nkalakala Wilaya ya Mkalama ambapo Mbunge Jesca Kishoa amezitoa kwa ajili ya kusaidia miradi ya maendeleo ikiwemo shule, Zahanati, Michezo na walemavu.

Kishoa ametumia nafasi hiyo kutatua kero mbalimbali za wananchi ikiwemo kusaidia walemavu juu ya usafiri na pesa za kujikimu.

Kwa upande wa wanafunzi wa kike ametoa taulo za kike kwa shule za kata ya Nkalakala.

Wananchi wamesema kuwa wamefurahishwa na namna ambavyo Jesca Kishoa anawafanyia watu wa Mkalama.

Mwananchi Sara Saidi ameshukuru na kusema kuwa mbunge huyo anaendelea kuwafanyia yaliyo mazuri katika Wilaya hiyo ya Mkalama.

"Namshukuru kwa hiki anachoendelea kutoa Jesca Kishoa kwetu sisi," Sara

Hussein Said amesema kuwa jezi ambazo amezitoa kwao zitawasaidia katika kunyanyua vipaji vyao.

"Hizi jezi zitatusaidia katika kukuza na kuendeleza vipaji vyetu,"amesema.

Aidha katika hatua nyingine Kishoa ametoa mitungi ya gesi kwa kina mama lishe, ametoa jezi za mpira pamoja na taulo za kike kwa shule za msingi na Sekondari katika eneo hilo.

Kwa upande wa Serikali amemsifia Rais Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kuleta miradi mikubwa ya maendeleo.

Pia soma
- Mbunge Kishoa afanya ziara kata ya Ibaga, Mkalama. Agawa mitungi ya gesi, kuchangia 3.7M ujenzi wa Zahanati
 
..wakati akiwa Chadema Jesca Kishoa alijaribu kutoa misaada huko Singida lakini Mkuu wa wilaya akamzuia.
 
CHADEMA hawana mbunge. Ni wabunge wa spika
 
..wakati akiwa Chadema Jesca Kishoa alijaribu kutoa misaada huko Singida lakini Mkuu wa wilaya akamzuia.
😆😆😆 Akiwa Mbunge wa Temeke, Lyatonga Mrema alipeleka kandambili hospitali ya Temeke, badala ya kupokea zawadi hiyo Mganga mkuu alitimua mbio
 
Back
Top Bottom