Elections 2010 Singida mjini Mo kashinda

Elections 2010 Singida mjini Mo kashinda

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Tume ya taifa ya uchakuzi kule Singida mjini yametangwa punde...

MOHAMED GULAM DEWJI 21,169
Mgombea ubunge wa CHADEMA 3457

Yaani yaelekea mikoa yenye maedneleo duni inakumbatia CCM ( Temeke, Singida, Lindi, Rukwa, Morogoro n.k) Watnzania wa huko bongo lalalaaaa
 
Ccm - 21166 ( dewji)
chadema - 3457
cuf - 648
 
Uzuri kwa Dr. Slaa mikoa yenye maendeleo duni haina watu kwa hiyo hicho ni kilio cha kusaga meno kwa JK...................
 
he jamani Wanyaturu wangu vipi,huyo mfadhili wenu siku akinyimwa na mkewe!
 
Back
Top Bottom