Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Leo nataka kuufahamu vizuri huu mkoa uliopo katikati ya nchi, huu mkoa unatajwa sana kutokana na uwepo wa watu wake wanaohusishwa na matukio mbali mbali ya kitaifa.
Karibu kila tukio kubwa la kitaifa huwezi kukosa watu wawili au mmoja kuhusika.
Hili kabila la Wanyaturu sijajua ni jamii ya watu wa aina gani? MAJINIAS sana au wana nini hawa watu?