Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Ni wapole lakini hatupendi kuonewa Mkuu, ukituonea tunapigana, ukituibia ng'ombe tutakutafuta mpaka tukupate...na tukikupata utajuta!Leo nataka kuufahamu vizuri huu mkoa uliopo katikati ya nchi, huu mkoa unatajwa sana kutokana na uwepo wa watu wake wanaohusishwa na matukio mbali mbali ya kitaifa.
Karibu kila tukio kubwa la kitaifa huwezi kukosa watu wawili au mmoja kuhusika.
Hili kabila la Wanyaturu sijajua ni jamii ya watu wa aina gani? MAJINIAS sana au wana nini hawa watu?
fundi wa madirisha yapi ? mbao, chuma au aluminium ? au fito kama unavyoonekana kwny avataLeo nataka kuufahamu vizuri huu mkoa uliopo katikati ya nchi, huu mkoa unatajwa sana kutokana na uwepo wa watu wake wanaohusishwa na matukio mbali mbali ya kitaifa.
Karibu kila tukio kubwa la kitaifa huwezi kukosa watu wawili au mmoja kuhusika.
Hili kabila la Wanyaturu sijajua ni jamii ya watu wa aina gani? MAJINIAS sana au wana nini hawa watu?
Ni wapole lakini hatupendi kuonewa Mkuu, ukituonea tunapigana, ukituibia ng'ombe tutakutafuta mpaka tukupate...na tukikupata utajuta!
Tunapenda haki hatupendi dhulma...Lissu, Nyalandu, Mama Mghwira
Kinyume chake Wanyiramba ni Wabinafsi na wanafiki mno...Reference Mwigulu, Kitila Mkumbo na Nalaila Kiula
Wanawake wa Kinyiramba ni kama wale "Wapalestina" wa Kilimanjaro, Kazi kwako!
Wajuajiwajuaji
Wanaujasiri hata wa kusema uongo huku wamekunja sura kwa uchungu Mkubwa.
Bila kuwa makini rahisi kuwaamini bila kuchunguza facts.
Malaya hasaa lakini mbona singida hauongozi Kwa maambukizi ya Ngoma??...Kina dada wa kinyiramba wazuri sana lkn we umalaya balaa, nenda sehemu zote wanapopatikana dada poa...huwezi kosa mnyiramba.I
Usisahau kwamba huo ndio mkoa maskini kuliko mikoa yote hapa Tz.