Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
HABARI Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo amesema kuwa vigodoro vimekuwa vikisababisha madhara makubwa kwa jamii na kupelekea tabia za ubakaji kukithiri kwa namna ambavyo wanawake wamekuwa wakivaa nguo zisizo na stara.
Sources: EastAfricaTV