Singida Out, iwe fundisho siku nyingine

Hata ile ya Simba na Kaizer Simba alikula 4 huku ana possess mpira 78%
 
Naomba msaada wa kuelimishwa. Kipa akidakia nje hali ya kuwa mpira haukuguswa na mchezaji wa upande wake inakuwaje?
 
Na ile ni kona halali, waache kudhan wameonewa, wangepambana goli lisiingie sio kuleta excuses……. Goli la kimpira kabisa

kipa kaenda kudakia mpira nje then anarudi ndani, alitakiwa kuuacha. KONA NI HALALI NA GOLI NI HALALI

Wadada na Mpira wapi na wapi
 

Sana , na nimeshangaa maana hata muda kuongezwa kwa SSC ile wangeifunga dakika zile

Timu inaruka ruka tu
 
Naomba msaada wa kuelimishwa. Kipa akidakia nje hali ya kuwa mpira haukuguswa na mchezaji wa upande wake inakuwaje?

Ni kona kwa sheria za FIFA na CAF
 
Sasa wewe umeandika nini

Too subjective . Emotional

Umeingia kwenye fantasy ya subjectivity

I thought you would put empirical Evidence as to how refa ana makosa

Stupid as stupid does , Madam
sio emotions, you need pints. also don't build a mountain on a lie. it will collapse
 
Wewe point yako ni ipi?
Kwenye nidhani namkubali 100% na km angekua refa mwingine wangepigwa redi wachezaji Kwa walichomfanyia but he was very cool,Singida kunakipindi wanaenda shambulia it’s 1vs 3 lkn mpira anarudisha nyuma ‘Gadiel huyo’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…