Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuuawa kwa kupigwa risasi.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia askari wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku uchunguzi ukiendelea.