Singida United, kama mnataka kuungwa mkono na wananchi toeni picha ya huyo mtu kwenye basi lenu

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Club hii imekuwa ikishuka sana kwenye msimamo wa ligi kuu kutokana na kukosekana kwa morali kwa wachezaji na timu nzima kukumbwa na ukata wa fedha.

Wananchi wengi ni wapenzi wa mpira na wanapenda sana kuisapoti clabu ya singida united lakini kwa utafiti wangu noliofanya bila ya kibali kutoka ofisi ya taifa ya takwimu nimegundua kuwa, wananchi ( majority) hawapendi kuona picha ya mwanasiasa mmoja kwenye basi lao na kiongozi huyo alishawahi kuwa kiongoz mkubwa hapa nchini .

Uongozi wa singida united mnapaswa kutoa hiyo picha kwenye ubavu wa basi lenu.

3D74BA26-472B-45C0-9C98-5FB898555A99.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida United ni timu ya mtu binafsi,hamilikiwi na wanachama so huwezi wapangia cha kufanya
 
Club hii imekuwa ikishuka sana kwenye msimamo wa ligi kuu kutokana na kukosekana kwa morali kwa wachezaji na timu nzima kukumbwa na ukata wa fedha.

Wananchi wengi ni wapenzi wa mpira na wanapenda sana kuisapoti clabu ya singida united lakini kwa utafiti wangu noliofanya bila ya kibali kutoka ofisi ya taifa ya takwimu nimegundua kuwa, wananchi ( majority) hawapendi kuona picha ya mwanasiasa mmoja kwenye basi lao na kiongozi huyo alishawahi kuwa kiongoz mkubwa hapa nchini .

Uongozi wa singida united mnapaswa kutoa hiyo picha kwenye ubavu wa basi lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa si utaje jina la uyo mtu, au unaogopa utarogwa?
 
Kwenye Basi laTimu yaetu Pendwa Wnyaturu, Wanyiramba na Wasukuma kutoka Singida inayoitwa Singida United tumeweka picha ya Boya mmoja anaitwa Mwigulu Lameck Nchemba aliyetokea maeneo ya Iramba ambaye ni Mwanachama halali wa Timu ya Yanga aliyewachukua wachezaji wetu na kuwahonga kwa Yanga.
 
Back
Top Bottom