Singida United msimu huu itatisha sana hakuna cha yanga wala simba

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
955
ndo mjue mkiona kimya hivyo ndo wameishiwa na mawazo hii timu msimu huu hakuna cha simba wala yanga, mpaka sasa mwenendo ni mzuri sana na usajili umefanyika vzr tu, kwa wale wanaopenda maumivu na mawazo mkashabikie timu ya taifa ya Tanzania huko msiri inavyopigwa bila huruma mbele ya viongozi wa Taifa
 
Dadavua Mkuu ...Mwigulu bado ni mfadhili!? akiendelea huyo Wasingida hatuitaki hiyo Timu!
 
ndo mjue mkiona kimya hivyo ndo wameishiwa na mawazo hii timu msimu huu hakuna cha simba wala yanga, mpaka sasa mwenendo ni mzuri sana na usajili umefanyika vzr tu, kwa wale wanaopenda maumivu na mawazo mkashabikie timu ya taifa ya Tanzania huko msiri inavyopigwa bila huruma mbele ya viongozi wa Taifa

Kwa sababu gani itatisha!!
 
Hao ni mabush 🌟 tu hawatishi chochote na hiyo mitumba yao
 
Back
Top Bottom