aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Jan 14, 2018 #1 Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa 1.Yara 2.sportpesa 3.NMB 4.ORYX 5.PUMA 6.Azania 7.Halotel Bado kuna 1.azam tv 2.vodacom Simba na yanga mnakwama wapi?
Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa 1.Yara 2.sportpesa 3.NMB 4.ORYX 5.PUMA 6.Azania 7.Halotel Bado kuna 1.azam tv 2.vodacom Simba na yanga mnakwama wapi?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jan 14, 2018 #2 Hongera kwa Singa United. Chapeni kabumbu ipasavyo
M mbwewe JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 3,267 Reaction score 3,404 Jan 14, 2018 #3 Simba na yanga wamekwama kwenye majungu na fitna!!!
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Jan 14, 2018 #4 Umenichekesha sana aseee
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Jan 14, 2018 Thread starter #5 mbwewe said: Simba na yanga wamekwama kwenye majungu na fitna!!! Click to expand... Umeona eenhe timu zina udhamini ya kuunga unga yaani singida kama puma yeye mkataba ni kutoa mafuta kwenye. Gari mwaka mzima, NMB vifaa vya mazoezi kila mtu na jukumu lake
mbwewe said: Simba na yanga wamekwama kwenye majungu na fitna!!! Click to expand... Umeona eenhe timu zina udhamini ya kuunga unga yaani singida kama puma yeye mkataba ni kutoa mafuta kwenye. Gari mwaka mzima, NMB vifaa vya mazoezi kila mtu na jukumu lake
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Jan 14, 2018 Thread starter #6 Leonard Robert said: Umenichekesha sana aseee Click to expand... Kwa nini
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,279 Reaction score 2,921 Jan 14, 2018 #7 mbwewe said: Simba na yanga wamekwama kwenye majungu na fitna!!! Click to expand... Uongozi mbovu na siasa ndani ya team
mbwewe said: Simba na yanga wamekwama kwenye majungu na fitna!!! Click to expand... Uongozi mbovu na siasa ndani ya team
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Jan 14, 2018 Thread starter #8 GREGO said: Uongozi mbovu na siasa ndani ya team Click to expand... Si muda zitabaki historia
ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,362 Reaction score 2,991 Jan 14, 2018 #9 shabiki kindaki wa simba ila siasa inaiharibu simba mabilioni ya usajili hayafanani na mpira unaochezwa.Big up singida united
shabiki kindaki wa simba ila siasa inaiharibu simba mabilioni ya usajili hayafanani na mpira unaochezwa.Big up singida united
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Jan 14, 2018 #10 Simba na Yanga ni miradi ya watu, Ngoja tuone Mo atafanya nini Simba.
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,606 Reaction score 5,295 Jan 14, 2018 #11 Juzi niliona basi lao lina mapicha ya bidhaa za jambo.
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Jan 14, 2018 #12 Nmecheka sana
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jan 14, 2018 #13 uzamini wa kiasi gani... ili tuweze kulinganisha na hizo timu zingine za kusini mwa jangwa.... kama ni idadi ambazo hazina tija ni sawa na hakuna...!
uzamini wa kiasi gani... ili tuweze kulinganisha na hizo timu zingine za kusini mwa jangwa.... kama ni idadi ambazo hazina tija ni sawa na hakuna...!
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jan 14, 2018 #14 kuna muda ni bora hasie na wazamini kulko mwenye wazamini...
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jan 14, 2018 #15 kuna muda ni bora hasie na wazamini kulko mwenye wazamini...
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jan 14, 2018 #16 kuna muda ni bora hasie na wazamini kulko mwenye wazamini...
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jan 14, 2018 #17 kuna muda ni bora hasie na wazamini kulko mwenye wazamini...
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 2,780 Reaction score 3,733 Jan 14, 2018 #18 Hao singida na udhamini wao wote huo lkn bado output ndogo sana... C bora angepewa hata TZ Prisons tu....
Hao singida na udhamini wao wote huo lkn bado output ndogo sana... C bora angepewa hata TZ Prisons tu....
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Jan 14, 2018 Thread starter #19 ZionGate said: shabiki kindaki wa simba ila siasa inaiharibu simba mabilioni ya usajili hayafanani na mpira unaochezwa.Big up singida united Click to expand... Ha ha Hamia azam au stand bro
ZionGate said: shabiki kindaki wa simba ila siasa inaiharibu simba mabilioni ya usajili hayafanani na mpira unaochezwa.Big up singida united Click to expand... Ha ha Hamia azam au stand bro
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jan 14, 2018 #20 Mwifwa said: Hongera kwa Singa United. Chapeni kabumbu ipasavyo Click to expand... SINGA>>>>SINGIDA