nadhani majibu yana patikana huko... watu wana kula mikataba ya pesa... ni billions... sio millions... na zikiwa millions... ni nyingi zilizo vuka nusu...! nashangaa sana watu wana kuja na unazi hapa usio na msingi...
hizo kampuni zilizo wadhamini hao singida, mbeya city, ndanda, mbao... zina tamani siku moja zipate fursa ya kuwa sehemu ya udhamini ktk hizi klabu kubwa na kongwe... maana zina ushawishi na mashabiki na wapenzi na wanachama... wengi zaidi ya klabu nyingine yoyote tanzania... bado sina data za africa mashariki...
thamani za klabu nazo ni kubwaaaaaaaa sana... kuliko zingine zozote tanzania.... lakini mtu ana kuja na kauzi ka kishabiki na unafiki... na watu wenye akili timamu ambazo hawa zishughulishi ktk kufikilia wana unga mkono upuuzi...