Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ilikuuwa janaUnaweza kutuambia hapa mara ya mwisho Yanga kuondoka na points 3 pale Namfua stadium ilikuwa lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mataji yenu ya Premier yamewasaidia nini mpaka sasa?Mikia tumewazidi mataji..na ndio ukubwa huo..Azam wana kombe moja wamepitwa na Mtibwa
Kuchukua mara nyingi Champions league ninyi mmechukua lini?
Namfua au LITI?Unaweza kutuambia hapa mara ya mwisho Yanga kuondoka na points 3 pale Namfua stadium ilikuwa lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Vikombe gani hivyo,vile vya Mapinduzi?Wingi wa mataji kuanzia ligi,copa de ,super cup,eufa,nk
Kama ilivyo tanzania,yanga kamzidi simba kombe la ligi tuu,ila kwa ujumla wa vikombe vyote,simba kamzidi yanga,tena saaaana tu
Ule Uwanja wa Kanjibai Mo Arena ambao muda wowote anaugeuza kuwa cricket au golf course?Mataji yenu ya Premier yamewasaidia nini mpaka sasa?
Simba tuna uwanja wetu wa mazoezi and soon tutatandika majukwaa ya adabu japo hatuna uwezo sana wa kujenga kulingana na ukubwa wa club yetu kwa maana ya wingi wa mashabiki ila tutafanya.
.
Simba tumecheza robo fainali ya champions league mara mbili, Simba tumeuza wachezaji wetu kwenda club kubwa africa wengi na wakienda huko hawawi maflop, Simba tuko mjini yani Kariakoo kabisa ninyi mko kariakoo ya wapi?
Kafungwa singida united ila wanaoumiaa ni mashabiki wa simba a.k.a mbumbumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa,,, na penalty ya kupewa??Ukubwa wa chura kwa mnyama ni nini?
Mtamuota uyo mwaliNyie anzeni sisi tushamaliza tunasubiri tukabidhiwe mwali wetu
Wana yanga haitushitu..... Ata angemzidi na mabirikaWingi wa mataji kuanzia ligi,copa de ,super cup,eufa,nk
Kama ilivyo tanzania,yanga kamzidi simba kombe la ligi tuu,ila kwa ujumla wa vikombe vyote,simba kamzidi yanga,tena saaaana tu
Onyesha VAR
Tumuoteje wakati tupo naye tayar?