kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Singida United waliokuwa wanatajwa kwa jina la ' Wa Mochwari ' hasa baada ya kuangushiwa kipigo cha mabao 8 - 0 na S.S.C leo wamepiga chafya baada ya kuivurumisha Mbeya City 2 - 1 . Hii ni warning kwa wale wanaofikiri watapata kitonga wakikutana na Singida.