Wapo jangwani kwa mapumziko kipindi hichi cha " kiangazi"yanga wako wapi
Amucha isekuuu!wana wa nyumbani hao.... hongera yaooooo
Usipokubali kushindwa, wewe siyo mshindani.yanga wako wapi
.yanga wako wapi
Ayuuu wang'u mnyampaaAmucha isekuuu!
Mbona hujatupa matokeo ya SimbaTimu ya mpira Wa Miguu ya Singida United inayoshiriki Michuano ya Kombe la SportPesa huko nchini Kenya imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa FC Leopard ya Kenya kwa mikwaju ya penati. Singida itakabiliana na Gor Mahia katika hatua ya nusu fainali huku Simba ikichuana na Kakamega Homeboys.
Mshindi wa Mashindano haya atakwenda kucheza na Timu ya Everton inayoshiriki ligi EPL ya nchini Uingereza.
View attachment 794903
wana wa nyumbani hao.... hongera yaooooo