Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na Utulivu.
Akziungumza katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi Mkoani Singida amesema Kampeni za Uchaguzi huo zitaanza kesho na kwamba majina ya Wagombea 148 walioenguliwa yamerejeshwa kwenye Kinyang’anyiro cha Uchaguzi.
Amesema Muda Kampeni hizo ni Kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na Mbili jioni huku akisisitiza kuwa wagombea hawataruhusiwa kufanya kampeni kwa kutumia Rushwa, Kashfa.Ubaguzi wa Kijinsia,Ukabila na Lugha za Matusi.
Baadhi ya Washiriki wa Kikao Hicho wamempongeza Mkurugenzi wa kuwaleta Pamoja wazee ili kuvuna busara na Hekima zao kuelekea uchaguzi huo.