Wapendwa wanajf. Nasikitika kuwatarifu kuwa wajumbe wa mabaraza ya katiba waliochaguliwa wamechaguliwa bila waraka kufuatwa, kwa kuzingatia sifa halisi za waombaji na kama waraka ulivyoagiza. Ambapo moja ya sifa ya mwombaji ni awe anajua kujieleza,na kupambanua mambo, hivyo wote walioteuliwa singida hawana sifa hii kwa kuwa mratibu wa zoezi hili singida ametoa agizo kuwa watu wasiitwe ili wahojiwe.lakini mkakati wa ccm,kazi kwao katiba ikitoka mbaya mateso yatauangamiza wote.naomba michango yenu wanajf.