Singida wanafaidi tozo kuliko mkoa wowote

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno

Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa

Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo zinaihudumia vizuri sana
 
Ijumaa Ijayo Itakuwa Ya Kisomo Kumshtakia Mungu
Hajali huyo anawaambia nendeni burundi,akitolewaga madarakani teams zake huwa zinakufa
Ila safari hii kakomesha sana tozo zinaitunza team yake mishahara heavy
 
Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno

Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa

Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo zinaihudumia vizuri sana
Madilu system
 
Naona Simba na utopolo mnaumia kwa sababu mumesajili magarasa 😆😆
 
Waziri hana biashara lakini anamiliki timu.

Na hakuna anayemuuliza.
 
Back
Top Bottom