GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kweli kabisa.Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii
🤣🤣hii ndio JF bhana yaani mada imegeuzwa discusion ID 😂
Iko poa sanaNakula hi ngoma tangu jana
I’m single....
Im single again....
Ladies...,im single again
Ni kama msitu mkubwa wenye mawe mawe.Nyumba zipo wapi hapo.
[emoji3]Bunda kuna guest house nyingi kuliko sehemu yoyote ya dunia hii
Fambaf kabisa🤣Kuna jamaa mmoja wa bunda alileta uzi hapa kwamba bunda ni jiji lenye unyama mwingi kuliko Mwanza....😂😂
Naona watu wa Bunda mnanishambulia kwa kasi ya 6G...🤣😂Fambaf kabisa🤣
Wewe mwenyewe ni bumunda la Bunda🤣🤣🤣Naona watu wa Bunda mnanishambulia kwa kasi ya 6G...🤣😂
Ma vatenda Mwi Mmakonde..Harmonize me namkubali nyimbo zake burudanii kwangu