Single and available

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity

mwaka 2011 nataka kuachana nayo

wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako

pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya njia
 
Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity

mwaka 2011 nataka kuachana nayo

wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako

pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya njia

Yaan ungekuwa dem, kwa kuanzia tu hapahapa JF ungechangamkiwa balaa
 
Sasa are you single and available au SINGLE and SEARCHING.
 
ni pm tu chart, kwani kama mtu ni wa kiume na jiko unaliweza si shwari tu mkuuuuu:A S-rap:
 
umeishamuomba Mungu akusaidie kukuonyesha njia ya hilo suala lako?
 
umeishamuomba Mungu akusaidie kukuonyesha njia ya hilo suala lako?

Ashaomba huyu dada Judy!!, Kumsaidia ni kama hivi wewe, kama ushaolewa, umtafutie dada mdogo, kama huna dada, umtafutie rafikio, Ashapita kuomba mwenyezi, kalameni sasa yuko uwanjani.... "Bisha Hodi utafunguliwa...." mungu atuambia. Kina DADA msaidieni Msela hapo, ataka jikoooooooo!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…