Single Father anahitajika

Single Father anahitajika

Mungu akujalie upate hitaji la moyo wako.Tatizo lenu mnaandika kama kweli mko innocent mkishapata mtu kaamua kukupenda mnaanza ubinafsi wa kupendelea watoto zenu,huo ni mtihani kwa wanawake wengi,ukishinda hilo utakuwa na ndoa yenye amani na furaha tele..
 
Mungu akujalie upate hitaji la moyo wako.Tatizo lenu mnaandika kama kweli mko innocent mkishpata mtu kaamua kukupenda mnaanza ubinafsi wa kupendelea watoto zenu,huo ni mtihani kwa wanawake wengi,ukishinda hilo utakuwa na ndoa yenye amani na furaha tele..
Sio wanawake wote wako hivyo, watoto ni baraka na zawadi kutoka kwa Mungu
 
Dada una bidii, tangu 2014 bado hujafanikiwa? Kama upo serious njoo PM, naweza pia kukupa ushauri iwapo sitakuwa na vigezo stahiki maana utu uzima dawa!
 
Dada una bidii, tangu 2014 bado hujafanikiwa? Kama upo serious njoo PM, naweza pia kukupa ushauri iwapo sitakuwa na vigezo stahiki maana utu uzima dawa!
Hapa katikati niliacha na hiyo issue, nilikuwa busy na mambo mengine ya kimaisha, nikatulia kwanza, so nimerudi
 
Hahah! Tayari upo nje ya vigezo mzee hizi bahati haziangukagi kwa wadau walio na meno makali, utasikia age kuanzia 35+, wengine wanataka mwenye HIV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naendelea kupractise haya maneno aliyotuachia hayati Mzee Mengi( I love you crazy ) maana nitakayempata bado hajazaliwa.

Wazee wanasifika kwa kucare sana, bila shaka nikiwa mzee nitacare sana
 
Hahah! Kila lakheri mzee wacha tuombe uzima kufikia huo umri wa kucare
 
Back
Top Bottom